Native Bible

Proverbs 31:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wape kileo wale wanaoangamia, mvinyo wale walio na uchungu,

Proverbs 31:6 in English

Proverbs 31:6 · Berean Standard Bible

Give strong drink to one who is perishing, and wine to the bitter in soul.

Context

4“Ee Lemueli, haifai wafalme, haifai wafalme kunywa mvinyo, haifai watawala kutamani sana kileo, 5wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru na kuwanyima haki zao wote walioonewa. 6Wape kileo wale wanaoangamia, mvinyo wale walio na uchungu, 7Wanywe na kusahau umaskini wao na wasikumbuke taabu yao tena. 8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea, kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.