Native Bible

Proverbs 30:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo.

Proverbs 30:6 in English

Proverbs 30:6 · Berean Standard Bible

Do not add to His words, lest He rebuke you and prove you a liar.

Context

4Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka? Ni nani ameshakusanya upepo kwenye vitanga vya mikono yake? Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani? Niambie kama unajua! 5“Kila neno la Mungu ni kamilifu; yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 6Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 7“Ninakuomba vitu viwili, Ee Bwana; usininyime kabla sijafa: 8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; usinipe umaskini wala utajiri, bali unipe chakula cha kunitosha kila siku.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.