Native Bible

Proverbs 30:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kila neno la Mungu ni kamilifu; yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia.

Proverbs 30:5 in English

Proverbs 30:5 · Berean Standard Bible

Every word of God is flawless; He is a shield to those who take refuge in Him.

Context

3Sijajifunza hekima, wala sina maarifa ya kumjua yeye Aliye Mtakatifu. 4Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka? Ni nani ameshakusanya upepo kwenye vitanga vya mikono yake? Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani? Niambie kama unajua! 5“Kila neno la Mungu ni kamilifu; yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 6Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 7“Ninakuomba vitu viwili, Ee Bwana; usininyime kabla sijafa:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.