Native Bible

Proverbs 30:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sijajifunza hekima, wala sina maarifa ya kumjua yeye Aliye Mtakatifu.

Proverbs 30:3 in English

Proverbs 30:3 · Berean Standard Bible

I have not learned wisdom, and I have no knowledge of the Holy One.

Context

1Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, kwa Ithieli na kwa Ukali: 2“Mimi ni mjinga kuliko wanadamu wote; sina ufahamu wa kibinadamu. 3Sijajifunza hekima, wala sina maarifa ya kumjua yeye Aliye Mtakatifu. 4Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka? Ni nani ameshakusanya upepo kwenye vitanga vya mikono yake? Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani? Niambie kama unajua! 5“Kila neno la Mungu ni kamilifu; yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.