Native Bible

Proverbs 30:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, kwa Ithieli na kwa Ukali:

Proverbs 30:1 in English

Proverbs 30:1 · Berean Standard Bible

These are the words of Agur son of Jakeh—the burden that this man declared to Ithiel: “I am weary, O God, and worn out.*

Context

1Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, kwa Ithieli na kwa Ukali: 2“Mimi ni mjinga kuliko wanadamu wote; sina ufahamu wa kibinadamu. 3Sijajifunza hekima, wala sina maarifa ya kumjua yeye Aliye Mtakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.