Mithali 30:7
Proverbs 30:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ninakuomba vitu viwili, Ee Bwana; usininyime kabla sijafa:
Proverbs 30:7 in English
Proverbs 30:7 · Berean Standard Bible
Two things I ask of You— do not refuse me before I die:
Context
5“Kila neno la Mungu ni kamilifu;
yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 6Usiongeze kwenye maneno yake,
ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 7“Ninakuomba vitu viwili, Ee Bwana;
usininyime kabla sijafa: 8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo;
usinipe umaskini wala utajiri,
bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. 9Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana
na kusema, ‘Bwana ni nani?’
Au nisije nikawa maskini nikaiba,
nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.