Native Bible

Proverbs 30:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba.

Proverbs 30:26 in English

Proverbs 30:26 · Berean Standard Bible

the rock badgers * are creatures of little power, yet they make their homes in the rocks;

Context

24“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, lakini vina akili nyingi sana: 25Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. 26Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. 27Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 28Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.