Native Bible

Proverbs 30:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, lakini vina akili nyingi sana:

Proverbs 30:24 in English

Proverbs 30:24 · Berean Standard Bible

Four things on earth are small, yet they are exceedingly wise:

Context

22Mtumwa awapo mfalme, mpumbavu ashibapo chakula, 23mwanamke asiyependwa aolewapo, naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 24“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, lakini vina akili nyingi sana: 25Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. 26Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.