Mithali 30:22
Proverbs 30:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtumwa awapo mfalme, mpumbavu ashibapo chakula,
Proverbs 30:22 in English
Proverbs 30:22 · Berean Standard Bible
a servant who becomes king, a fool who is filled with food,
Context
20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi,
hula akapangusa kinywa chake na kusema,
‘Sikufanya chochote kibaya.’ 21“Kwa mambo matatu nchi hutetemeka,
naam, kwa mambo manne haiwezi kuvumilia: 22Mtumwa awapo mfalme,
mpumbavu ashibapo chakula, 23mwanamke asiyependwa aolewapo,
naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 24“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo,
lakini vina akili nyingi sana:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.