Native Bible

Proverbs 30:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi.

Proverbs 30:27 in English

Proverbs 30:27 · Berean Standard Bible

the locusts have no king, yet they all advance in formation;

Context

25Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. 26Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. 27Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 28Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. 29“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao, naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.