Mithali 30:29
Proverbs 30:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao, naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha:
Proverbs 30:29 in English
Proverbs 30:29 · Berean Standard Bible
There are three things that are stately in their stride, and four that are impressive in their walk:
Context
27Nzige hawana mfalme,
hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 28Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono,
hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. 29“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao,
naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha: 30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama,
asiyerudi nyuma kwa chochote; 31jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu,
naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.