Mithali 30:31
Proverbs 30:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka.
Proverbs 30:31 in English
Proverbs 30:31 · Berean Standard Bible
a strutting rooster; a he-goat; and a king with his army around him.*
Context
29“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao,
naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha: 30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama,
asiyerudi nyuma kwa chochote; 31jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu,
naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka. 32“Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe,
au kama umepanga mabaya,
basi funika mdomo wako na mkono wako. 33Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi,
na pia kule kufinya pua hutoa damu,
kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.