Native Bible

Proverbs 30:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi, na pia kule kufinya pua hutoa damu, kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.”

Proverbs 30:33 in English

Proverbs 30:33 · Berean Standard Bible

For as the churning of milk yields butter, and the twisting of the nose draws blood, so the stirring of anger brings forth strife.”

Context

31jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka. 32“Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe, au kama umepanga mabaya, basi funika mdomo wako na mkono wako. 33Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi, na pia kule kufinya pua hutoa damu, kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.