Native Bible

Proverbs 30:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme.

Proverbs 30:28 in English

Proverbs 30:28 · Berean Standard Bible

and the lizard can be caught in one’s hands, yet it is found in the palaces of kings.

Context

26Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. 27Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 28Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. 29“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao, naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha: 30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama, asiyerudi nyuma kwa chochote;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.