Native Bible

Proverbs 29:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia.

Proverbs 29:11 in English

Proverbs 29:11 · Berean Standard Bible

A fool vents all his anger, but a wise man holds it back.

Context

9Kama mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu, mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala hakuna amani. 10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia. 12Kama mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu. 13Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: Bwana hutia nuru macho yao wote wawili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.