Native Bible

Proverbs 29:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu.

Proverbs 29:12 in English

Proverbs 29:12 · Berean Standard Bible

If a ruler listens to lies, all his officials will be wicked.

Context

10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia. 12Kama mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu. 13Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: Bwana hutia nuru macho yao wote wawili. 14Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.