Native Bible

Proverbs 29:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote.

Proverbs 29:14 in English

Proverbs 29:14 · Berean Standard Bible

A king who judges the poor with fairness— his throne will be established forever.

Context

12Kama mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu. 13Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: Bwana hutia nuru macho yao wote wawili. 14Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote. 15Fimbo ya maonyo hutia hekima, bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo humwaibisha mama yake. 16Wakati waovu wanapostawi, pia dhambi vivyo hivyo, lakini wenye haki wataliona anguko lao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.