Native Bible

Proverbs 29:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati waovu wanapostawi, pia dhambi vivyo hivyo, lakini wenye haki wataliona anguko lao.

Proverbs 29:16 in English

Proverbs 29:16 · Berean Standard Bible

When the wicked thrive, rebellion increases; but the righteous will see their downfall.

Context

14Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote. 15Fimbo ya maonyo hutia hekima, bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo humwaibisha mama yake. 16Wakati waovu wanapostawi, pia dhambi vivyo hivyo, lakini wenye haki wataliona anguko lao. 17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, atakufurahisha nafsi yako. 18Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia, bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.