Mithali 29:17
Proverbs 29:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mrudi mwanao, naye atakupa amani, atakufurahisha nafsi yako.
Proverbs 29:17 in English
Proverbs 29:17 · Berean Standard Bible
Discipline your son, and he will give you rest; he will bring delight to your soul.
Context
15Fimbo ya maonyo hutia hekima,
bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo
humwaibisha mama yake. 16Wakati waovu wanapostawi,
pia dhambi vivyo hivyo,
lakini wenye haki wataliona anguko lao. 17Mrudi mwanao, naye atakupa amani,
atakufurahisha nafsi yako. 18Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia,
bali ana heri mtu yule aishikaye sheria. 19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu,
ajapoelewa, hataitikia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.