Native Bible

Proverbs 29:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia, bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.

Proverbs 29:18 in English

Proverbs 29:18 · Berean Standard Bible

Where there is no vision, the people cast off restraint; but blessed is he who keeps the Law.

Context

16Wakati waovu wanapostawi, pia dhambi vivyo hivyo, lakini wenye haki wataliona anguko lao. 17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, atakufurahisha nafsi yako. 18Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia, bali ana heri mtu yule aishikaye sheria. 19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, ajapoelewa, hataitikia. 20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.