Mithali 29:20
Proverbs 29:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye.
Proverbs 29:20 in English
Proverbs 29:20 · Berean Standard Bible
Do you see a man who speaks in haste? There is more hope for a fool than for him.
Context
18Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia,
bali ana heri mtu yule aishikaye sheria. 19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu,
ajapoelewa, hataitikia. 20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka?
Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye. 21Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani,
atamletea sikitiko mwishoni. 22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi,
naye mtu mwenye hasira ya haraka
hutenda dhambi nyingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.