Mithali 29:10
Proverbs 29:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu na hutafuta kumuua mtu mnyofu.
Proverbs 29:10 in English
Proverbs 29:10 · Berean Standard Bible
Men of bloodshed hate a blameless man, but the upright care for his life.*
Context
8Wenye mzaha huuchochea mji,
bali watu wenye hekima hugeuzia mbali hasira. 9Kama mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu,
mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala hakuna amani. 10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu
na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote,
bali mwenye hekima hujizuia. 12Kama mtawala akisikiliza uongo,
maafisa wake wote huwa waovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.