Native Bible

Proverbs 29:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wenye mzaha huuchochea mji, bali watu wenye hekima hugeuzia mbali hasira.

Proverbs 29:8 in English

Proverbs 29:8 · Berean Standard Bible

Mockers inflame a city, but the wise turn away anger.

Context

6Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi. 7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, bali mwovu hajishughulishi na hilo. 8Wenye mzaha huuchochea mji, bali watu wenye hekima hugeuzia mbali hasira. 9Kama mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu, mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala hakuna amani. 10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu na hutafuta kumuua mtu mnyofu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.