Native Bible

Proverbs 29:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu, mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala hakuna amani.

Proverbs 29:9 in English

Proverbs 29:9 · Berean Standard Bible

If a wise man goes to court with a fool, there will be raving and laughing with no resolution.

Context

7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, bali mwovu hajishughulishi na hilo. 8Wenye mzaha huuchochea mji, bali watu wenye hekima hugeuzia mbali hasira. 9Kama mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu, mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala hakuna amani. 10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.