Native Bible

Proverbs 25:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe.

Proverbs 25:21 in English

Proverbs 25:21 · Berean Standard Bible

If your enemy is hungry, give him food to eat, and if he is thirsty, give him water to drink.

Context

19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 20Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito. 21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe. 22Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Bwana atakupa thawabu. 23Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua, ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.