Mithali 25:22
Proverbs 25:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Bwana atakupa thawabu.
Proverbs 25:22 in English
Proverbs 25:22 · Berean Standard Bible
For in so doing, you will heap burning coals on his head,* and the LORD will reward you.
Context
20Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi,
au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi,
ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito. 21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale;
kama ana kiu, mpe maji anywe. 22Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake,
naye Bwana atakupa thawabu. 23Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua,
ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira. 24Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba,
kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.