Native Bible

Proverbs 25:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito.

Proverbs 25:20 in English

Proverbs 25:20 · Berean Standard Bible

Like one who removes a garment on a cold day or vinegar poured on a wound * is one who sings songs to a heavy heart.

Context

18Kama vile rungu au upanga au mshale mkali ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. 19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 20Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito. 21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe. 22Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Bwana atakupa thawabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.