Mithali 25:18
Proverbs 25:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama vile rungu au upanga au mshale mkali ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake.
Proverbs 25:18 in English
Proverbs 25:18 · Berean Standard Bible
Like a club or sword or sharp arrow is a man who bears false witness against his neighbor.
Context
16Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha,
ukila zaidi, utatapika. 17Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache,
ukizidisha, atakukinai na atakuchukia. 18Kama vile rungu au upanga au mshale mkali
ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. 19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa,
ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 20Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi,
au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi,
ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.