Mithali 25:17
Proverbs 25:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache, ukizidisha, atakukinai na atakuchukia.
Proverbs 25:17 in English
Proverbs 25:17 · Berean Standard Bible
Seldom set foot in your neighbor’s house, lest he grow weary and hate you.
Context
15Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa,
nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa. 16Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha,
ukila zaidi, utatapika. 17Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache,
ukizidisha, atakukinai na atakuchukia. 18Kama vile rungu au upanga au mshale mkali
ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. 19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa,
ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.