Native Bible

Proverbs 25:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida.

Proverbs 25:19 in English

Proverbs 25:19 · Berean Standard Bible

Like a broken tooth or a foot out of joint is confidence in a faithless man in time of trouble.

Context

17Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache, ukizidisha, atakukinai na atakuchukia. 18Kama vile rungu au upanga au mshale mkali ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. 19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 20Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito. 21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.