Native Bible

Proverbs 25:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua, ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira.

Proverbs 25:23 in English

Proverbs 25:23 · Berean Standard Bible

As the north wind brings forth rain, so a backbiting tongue brings angry looks.

Context

21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe. 22Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Bwana atakupa thawabu. 23Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua, ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira. 24Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 25Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka ndivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.