Mithali 2:20
Proverbs 2:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo utatembea katika njia za watu wema na kushikamana na mapito ya wenye haki.
Proverbs 2:20 in English
Proverbs 2:20 · Berean Standard Bible
So you will follow in the ways of the good, and keep to the paths of the righteous.
Context
18Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo
na mapito yake kwenye roho za waliokufa. 19Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi,
au kufikia mapito ya uzima. 20Hivyo utatembea katika njia za watu wema
na kushikamana na mapito ya wenye haki. 21Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi,
nao wasio na lawama watabakia ndani yake. 22Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi,
nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.