Native Bible

Proverbs 2:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa.

Proverbs 2:18 in English

Proverbs 2:18 · Berean Standard Bible

For her house sinks down to death, and her tracks to the departed spirits.*

Context

16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno ya kushawishi kutenda ubaya, 17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 18Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa. 19Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima. 20Hivyo utatembea katika njia za watu wema na kushikamana na mapito ya wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.