Mithali 2:16
Proverbs 2:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno ya kushawishi kutenda ubaya,
Proverbs 2:16 in English
Proverbs 2:16 · Berean Standard Bible
It will rescue you from the forbidden woman,* from the stranger * with seductive words
Context
14wale wapendao kutenda mabaya
na kufurahia upotovu wa ubaya, 15ambao mapito yao yamepotoka
na ambao ni wapotovu katika njia zao. 16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba,
kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno
ya kushawishi kutenda ubaya, 17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake
na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 18Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo
na mapito yake kwenye roho za waliokufa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.