Mithali 2:15
Proverbs 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambao mapito yao yamepotoka na ambao ni wapotovu katika njia zao.
Proverbs 2:15 in English
Proverbs 2:15 · Berean Standard Bible
whose paths are crooked and whose ways are devious.
Context
13wale waachao mapito yaliyonyooka
wakatembea katika njia za giza, 14wale wapendao kutenda mabaya
na kufurahia upotovu wa ubaya, 15ambao mapito yao yamepotoka
na ambao ni wapotovu katika njia zao. 16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba,
kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno
ya kushawishi kutenda ubaya, 17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake
na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.