Native Bible

Proverbs 2:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wale wapendao kutenda mabaya na kufurahia upotovu wa ubaya,

Proverbs 2:14 in English

Proverbs 2:14 · Berean Standard Bible

from those who enjoy doing evil and rejoice in the twistedness of evil,

Context

12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, 13wale waachao mapito yaliyonyooka wakatembea katika njia za giza, 14wale wapendao kutenda mabaya na kufurahia upotovu wa ubaya, 15ambao mapito yao yamepotoka na ambao ni wapotovu katika njia zao. 16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno ya kushawishi kutenda ubaya,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.