Native Bible

Proverbs 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wale waachao mapito yaliyonyooka wakatembea katika njia za giza,

Proverbs 2:13 in English

Proverbs 2:13 · Berean Standard Bible

from those who leave the straight paths to walk in the ways of darkness,

Context

11Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda. 12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, 13wale waachao mapito yaliyonyooka wakatembea katika njia za giza, 14wale wapendao kutenda mabaya na kufurahia upotovu wa ubaya, 15ambao mapito yao yamepotoka na ambao ni wapotovu katika njia zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.