Native Bible

Proverbs 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda.

Proverbs 2:11 in English

Proverbs 2:11 · Berean Standard Bible

Discretion will watch over you, and understanding will guard you,

Context

9Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki na sawa: yaani kila njia nzuri. 10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 11Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda. 12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, 13wale waachao mapito yaliyonyooka wakatembea katika njia za giza,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.