Native Bible

Proverbs 2:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako.

Proverbs 2:10 in English

Proverbs 2:10 · Berean Standard Bible

For wisdom will enter your heart, and knowledge will delight your soul.

Context

8kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake. 9Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki na sawa: yaani kila njia nzuri. 10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 11Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda. 12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.