Native Bible

Proverbs 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka,

Proverbs 2:12 in English

Proverbs 2:12 · Berean Standard Bible

to deliver you from the way of evil, from the man who speaks perversity,

Context

10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 11Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda. 12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, 13wale waachao mapito yaliyonyooka wakatembea katika njia za giza, 14wale wapendao kutenda mabaya na kufurahia upotovu wa ubaya,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.