Native Bible

Proverbs 2:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake.

Proverbs 2:8 in English

Proverbs 2:8 · Berean Standard Bible

to guard the paths of justice and protect the way of His saints.

Context

6Kwa maana Bwana hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 7Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, 8kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake. 9Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki na sawa: yaani kila njia nzuri. 10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.