Native Bible

Proverbs 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana Bwana hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.

Proverbs 2:6 in English

Proverbs 2:6 · Berean Standard Bible

For the LORD gives wisdom; from His mouth come knowledge and understanding.

Context

4na kama utaitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 5ndipo utakapoelewa kumcha Bwana na kupata maarifa ya Mungu. 6Kwa maana Bwana hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 7Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, 8kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.