Mithali 2:4
Proverbs 2:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kama utaitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa,
Proverbs 2:4 in English
Proverbs 2:4 · Berean Standard Bible
if you seek it like silver and search it out like hidden treasure,
Context
2kutega sikio lako kwenye hekima
na kuweka moyo wako katika ufahamu, 3na kama ukiita busara
na kuita kwa sauti ufahamu, 4na kama utaitafuta kama fedha
na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 5ndipo utakapoelewa kumcha Bwana
na kupata maarifa ya Mungu. 6Kwa maana Bwana hutoa hekima,
na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.