Native Bible

Proverbs 2:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na kama ukiita busara na kuita kwa sauti ufahamu,

Proverbs 2:3 in English

Proverbs 2:3 · Berean Standard Bible

if you truly call out to insight and lift your voice to understanding,

Context

1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 2kutega sikio lako kwenye hekima na kuweka moyo wako katika ufahamu, 3na kama ukiita busara na kuita kwa sauti ufahamu, 4na kama utaitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 5ndipo utakapoelewa kumcha Bwana na kupata maarifa ya Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.