Mithali 2:5
Proverbs 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ndipo utakapoelewa kumcha Bwana na kupata maarifa ya Mungu.
Proverbs 2:5 in English
Proverbs 2:5 · Berean Standard Bible
then you will discern the fear of the LORD and discover the knowledge of God.
Context
3na kama ukiita busara
na kuita kwa sauti ufahamu, 4na kama utaitafuta kama fedha
na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 5ndipo utakapoelewa kumcha Bwana
na kupata maarifa ya Mungu. 6Kwa maana Bwana hutoa hekima,
na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 7Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu,
yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.