Native Bible

Proverbs 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako,

Proverbs 2:1 in English

Proverbs 2:1 · Berean Standard Bible

My son, if you accept my words and hide my commandments within you,

Context

1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 2kutega sikio lako kwenye hekima na kuweka moyo wako katika ufahamu, 3na kama ukiita busara na kuita kwa sauti ufahamu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.