Mithali 2:9
Proverbs 2:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki na sawa: yaani kila njia nzuri.
Proverbs 2:9 in English
Proverbs 2:9 · Berean Standard Bible
Then you will discern righteousness and justice and equity—every good path.
Context
7Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu,
yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, 8kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki
na kuhifadhi njia ya waaminifu wake. 9Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki
na sawa: yaani kila njia nzuri. 10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako,
nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 11Busara itakuhifadhi
na ufahamu utakulinda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.