Native Bible

Proverbs 2:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu.

Proverbs 2:17 in English

Proverbs 2:17 · Berean Standard Bible

who abandons the partner of her youth and forgets the covenant of her God.

Context

15ambao mapito yao yamepotoka na ambao ni wapotovu katika njia zao. 16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno ya kushawishi kutenda ubaya, 17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 18Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa. 19Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.