Native Bible

Proverbs 2:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima.

Proverbs 2:19 in English

Proverbs 2:19 · Berean Standard Bible

None who go to her return or negotiate the paths of life.

Context

17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 18Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa. 19Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima. 20Hivyo utatembea katika njia za watu wema na kushikamana na mapito ya wenye haki. 21Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.