Native Bible

Proverbs 2:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.

Proverbs 2:22 in English

Proverbs 2:22 · Berean Standard Bible

but the wicked will be cut off from the land, and the unfaithful will be uprooted.

Context

20Hivyo utatembea katika njia za watu wema na kushikamana na mapito ya wenye haki. 21Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake. 22Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.